• HABARI MPYA

  Thursday, December 02, 2021

  MORRISON MCHEZAJI BORA SIMBA SC DESEMBA


  WINGA Mghana, Bernard Morrison ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa klabu hiyo mwezi Desemba na kukabidhiwa kiasi cha Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium ACP.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MORRISON MCHEZAJI BORA SIMBA SC DESEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top