// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); UNADHANI HARUNA ALISEMA NENO GANI HAPA KWA HASIRA JANA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE UNADHANI HARUNA ALISEMA NENO GANI HAPA KWA HASIRA JANA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Wednesday, August 09, 2017

  UNADHANI HARUNA ALISEMA NENO GANI HAPA KWA HASIRA JANA?

  Kiungo mpya wa Simba, Haruna Niyonzima akifoka kwa hasira baada ya kutia krosi nzuri, lakini wachezaji wenzake wakashindwa kuiunganishia nyavuni jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sport ya kwao, Rwanda kwenye mchezo wa kirafiki  
  Haruna aliingia kipindi cha pili na kucheza vizuri, ikiwa ni pamoja na kuseti nafasi za kufunga ambazo wachezaji wenzake walishindwa kuzitumia 
  Nafasi hii iliyomfanya akahamaki ndiyo iliyokuwa nzuri zaidi
  Lakini ajabu wachezaji watatu wa Simba walishindwa kuugusa mpira uingia nyavuni
  Haruna Niyonzima amehania Simba mwezi huu kutoka kwa mahasimu, Yanga  
  Pamoja na kukasirika na kutoa yowe kali, lakini Haruna Niyonzima aliinuka kuendelea na mchezo
  ingawa hata wakati anainuka alionekana bado ana hasira
  Na akaendelea kusema maneno kama kulalamika kwa waliopoteza nafasi hiyo
  Haruna Niyonzima anafahamika kama mchezaji mwenye hasira, ambazo wakati mwingine humponza kuonyeshwa kuonyeshwa kaid nyekundu
  Hii ndiyo krosi ya kitaalamu Haruna Niyonzima alipiga mpira ukaenda karibu kabisa lango ukihitaji mtu wa kuugusa tu uingie nyavuni
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UNADHANI HARUNA ALISEMA NENO GANI HAPA KWA HASIRA JANA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top