Eric Bailly (mbele kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wa Manchester United kwenye ndege leo wakati wa safari ya kwenda mjini Skopje, Macedonia kwa ajili ya mcheo wa Super Cup ya UEFA dhidi ya Real Madrid kesho usiku Uwanja wa Nacionalna Arena Filip II. Man United ni mabingwa wa Ligi ya Ulaya na Real Madrid ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup 2026: Cristiano Ronaldo becomes first man to score a goal in six
World Cups
-
Cristiano Ronaldo is still setting records at 41.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment