Kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima (kushoto) akizungumza na Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Marius Omog (kulia) baada ya kuripoti mazoezini leo Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam, saa chache tu baada ya kuwasili Alfajiri ya leo kutoka Kigali alipokuwa kwa mapumziko, kufuatia kuachana na Yanga aliyoitumikia kwa miaka sita
No extra revenue for Fifa from hydration breaks - Infantino
-
Hydration breaks at the World Cup are "purely a sporting matter" and bring
"no additional revenue for Fifa", says president Gianni Infantino.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment