• HABARI MPYA

  Monday, August 07, 2017

  UHOLANZI MALKIA WA SOKA LA WANAWAKE ULAYA

 • Wachezaji wa Uholanzi wakishangilia na taji lao la Kombe la Mataifa ya Ulaya kwa wanawake, EURO 2017 baada ya ushidi wa mabao 4-2 dhidi ya Denmark mjini Enschede. Mabao ya Uholanzi yalifungwa na Vivianne Miedema mawili, Lieke Martens na Sherida Spitse, wakati ya Denmark yalifungwa na Nadia Nadim na Pernille Mosegaard-Harder PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UHOLANZI MALKIA WA SOKA LA WANAWAKE ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top