Idrissa Gueye akiteleza kuifungia bao la pili Everton dakika ya 45 baada ya kazi nzuri ya Wayne Rooney katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Hajduk Split kwenye mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza michuano ya Ligi ya Ulaya usikiu wa jana Uwanja wa Goodison Park. Bao la kwanza la Toffees lilifungwa na Michael Keane dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment