Bondia Floyd Mayweather akifanya mazoezi ya wazi nje ya gym yake ya Mayweather Boxing Club kuonyesha namna alivyo tayari kwa pambano la 50 katika historia yake ya ngumi akiwa ameshinda yote 49 ya awali. Mmarekani huyo atapambana na mbabe wa UFC Conor McGregor Agosti 26, mwaka huu ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
I want to industrialise Africa, not chase billions — Dangote
-
Africa's richest man and President of the Dangote Group, Aliko Dangote, has
said his greatest ambition is not to accumulate wealth but to leave a
lasting...
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment