Winga wa Simba, Shiza Kichuya akipiga mpira asubuhi ya leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba wakati wa mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar kesho jioni
Beki Mkongo, Janvier Besala Bokungu akipiga mpira
Kiungo Mghana, James Kotei akipiga mpira mazoezini
Kiungo fundi zaidi kwa sasa nchini, Said Hamisi Ndemla akip[iga mpira
Meneja Mussa Mgosi kama kawaida naye alishiriki kidogo mazoezi
Hapa makocha wanazungumza na wachezaji kabla ya kuanza mazoezi rasmi





0 comments:
Post a Comment