Christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia Crystal Palace bao la ushindi dakika ya 11 ikiwalza wenyeji, Chelsea 2-1 Uwanja wa Stamford Bridge, London jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Chelsea walitangulia kwa bao la Cesc Fabregas dakika ya tano, kabla ya Wilfried Zaha kuisawazishia Palace dakika ya tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment