Kiungo wa Chelsea na Ubelgiji, Eden Hazard akipiga krosi mbele ya beki wa Uholanzi na Manchester United, Daley Blind katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Amsterdam Arena mjini Amsterdam, Uholanzi. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 Davy Klaassen akianza kuwafungia Uholanzi kwa penalti dakika ya 38 kabla ya Yannick Carrasco kuisawazishia Ubelgiji dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cristiano Ronaldo's Portugal lifeline: Boss Jorge Jesus and team-mates
leave the door open for 41-year-old to return after he stormed out of camp
amid rift with manager
-
Cristiano Ronaldo has been handed a lifeline by his Portugal manager and
team-mates, who insist they would welcome his return despite his explosive
walkout.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment