Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy (kushoto) na Jasmine Costa (kulia) wakifuatilia mchezo wa timu yao dhidi ya African Lyon juzi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Lyon ilishinda 1-0 mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kulia) akifarijiana na rafiki zake baada ya bao pekee la Abdallah Mguhi 'Messi' kuipa ushindi wa Lyon
Mashabiki wa Simba walikuwa watulivu Jumapili Uwanja wa Uhuru kama hivi
Waliufuatilia mchezo kwa makini dakika zote 90 na ushei kama hivi
0 comments:
Post a Comment