Wachezaji wa Simba SC kutoka kulia Abdulrahman Muchacho, Abbas Dilunga, Omar Gumbo, Adam Sabu (marehemu), Abdallah Kibadeni na Shaaban Baraza wakiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam kablaa ya mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya Klabu Bingwa Afrika mwaka 1974 dhidi ya Mehalal El Kubra ya Misri. Simba ilishinda 1-0 bao pekee la Saad Ali.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment