KAPTENI SAMATTA ALIVYO TAYARI KWA KAZI TAIFA STARS LEO
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Taifa wa Harare, Zimbabwe kabla ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji leo kwenye Uwanja huo huoPICHA NA ALFRED LUCAS WA TFF
0 comments:
Post a Comment