Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akilalamikia jambo wakati wa mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Legia Warsaw usiku huu Uwanja wa Pepsi Arena mjini Warsaw, Poland. Timu hizo zilitoka sare ya 3-3 mabao ya Legia Warsaw yakifungwa na Vadis Odjidja, Miroslav Radovic na Thibault Moulin wakati ya Real yalifungwa na Gareth Bale, Karim Benzema na Mateo Kovacic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment