PLUIJM NAYE ALIHUDHURIA MAZISHI YA MZEE SAID LEO KISUTU
Kocha Mholanzi wa Yanga, Hans van der Pluijm (kulia) alikuwepo kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad Abeid leo makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh
Kiongozi wa zamani wa Yanga, Abdallah Bin Kleb (katikati) alikuwepo pia
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likifunguliwa
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia alikuwepo
Rais wa zamani wa TFF, Leodegar Tenga alikuwepo pia
Wachezaji wa Azam Akademi walikuwepo pia leo
Wadau mbalimbali wa michezo wakiwa makaburi ya Kisutu leo
Yussuf Bakhresa kulia naye alikuwepo
Wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye safari ya mwisho ya Sheikh Said
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Abedi Mziba 'Tekero' alikuwepo pia
Viuongozi wa Simba kutoka kulia Hamisi Kisiwa, Said Tuliy na Patrick Kahemele
Kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa alikuwepo
Rais wa TFF, Jamal Malinzi alikuwepo msibani pia
Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa alikuwepo msibani
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment