MAZOEZI YA MWISHO SIMBA SC LEO SOKOINE KABLA YA KUIVAA PRISONS KESHO
Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda Jackson Mayanja akiwa ameinua mpira juu mbele ya wachezaji wake wakati wa mazoezi leo jioni Uwanja wa Sokoine, Mbeya siku moja kabla ya kumenyana na wenyeji, Prisons kesho kwenye Uwanja huo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Mayanja (kulia) akipiga mpira na kushoto ni winga Shizza Kichuya
Mayanja kulia na Kichuya kushoto wakati wa mazoezi ya leo
Kiungo mkongwe wa Simba, Mwinyi Kazimoto akipiga danadana za kichwa katikati ya wachezaji wenzake
Kocha Mkuu, Mcameroon Joseph Marius Omog (kushoto) akiongoza mazoezi
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment