Jesus Navas (kushoto) wa Manchester City akijaribu kumlamba chenga Adam Clayton wa Middlesbrough katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Etihad timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1. Bao la City lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 43 kabla ya Marten Roon kuisawazishia Middlesbrough dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
N300m criminal eviction: Court issues fresh bench warrant, orders security
agencies to arrest police officer
-
Justice Samira Bature of the FCT High Court, Maitama, Abuja, has issued a
fresh bench warrant directing all law enforcement agencies to arrest a
police o...
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment