Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi wa 5-0 dhidi ya Everton usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Eden Hazard mawili dakika za 19 na 56, Marcos Alonso dakika ya 20, Diego Costa dakika ya 42 na Pedro dakika ya 56 na kwa ushindi huo, The Blues wanapanda kileleni kwa kufikisha pointi 25 baada ya kucheza mechi 11, wakiiteremshia nafasi ya pili Manchester City yenye pointi 24 za mechi 11 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
N300m criminal eviction: Court issues fresh bench warrant, orders security
agencies to arrest police officer
-
Justice Samira Bature of the FCT High Court, Maitama, Abuja, has issued a
fresh bench warrant directing all law enforcement agencies to arrest a
police o...
11 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment