Wachezaji wa Simba wakimshuhudia kipa wa African Lyon, Rostand Youthe akipatiwa matibabu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Ilifikia wakati wachezaji wa Simba hadi wakasaidia kumtibu kipa huyo Mcameroon, lengo lao ainuke haraka mchezo uendelee waendelee kusaka bao
Hatimaye akainuka na kwenda kuanzisha tena mchezo, ingawa alijivuta vuta mno
Hapa anashangilia bao pekee la ushindi la timu yake lililofungwa na Abdallah Mguhi 'Messi' African Lyon ikiweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kuifunga Simba msimu huu
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment