Wachezaji wa Bayern Munich wakimpongeza mwenzao, Robert Lewandowski wa tatu baada ya kuwafungia mabao yote katika ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya PSV ya Uholanzi kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la PSV lilifungwa na Santiago Arias na kwa ushindi huo Bayern inakwenda 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment