Philippe Coutinho (kushoto) na Gabriel Jesus (kulia) wakishangilia na Neymar aliyefunga bao la pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Argentina kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Amerika Kusini leo Uwanja wa Governador Magalhaes Pinto mjini Belo Horizonte, Minas Gerais, Brazil. Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Coutinho na Paulinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment