BANDARI HII MBELE KUNA AMLIMA NA KINGSLEY MALWIRO, WANAPONAJE!
Wa pili kulia ni Kingsley Malwiro na wa pili kushoto ni Idelphonce Amlima katika kikosi cha Bandari Mtwara mwaka 1992 kabla ya moja ya mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu ya Vodacom) Tanzania Bara.
0 comments:
Post a Comment