Winga wa Wales, Gareth Bale akirusha mpira katika mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Serbia usiku wa jana Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1Bale akitangulia kuifungia Wales dakika ya 30 kabla ya Aleksandar Mitrovic kuisawazishia Serbia dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment