Eden Hazard akimlamba chenga mchezaji mwenzake wa Chelsea, kipa Asmir Begovic kuifungia Ubelgiji bao la pili dakika ya 26 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Bosnia-Herzegovina kwenye mchezo wa Kundi H usiku wa jana Uwanja Roi Baudouin mjini Brussel, Ubelgiji. Mabao mengine ya wenyeji yalifungwa na Emir Spahic aliyejifunga dakika ya 26, Toby Alderweireld dakika ya 60 na Romelu Lukaku dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NHL's Lyle Odelein dies from heart attack at 58 just eight years after
surviving horrific blood infection
-
Lyle Odelein, a defenseman who won a Stanley Cup with the Montreal
Canadiens in 1993, has died at 58 following years of health issues.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment