Quincy Promes (katikati) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika za 15 na 31 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Belarus usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam kwenye mchezo wa Kundi A. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Davy Klaassen dakika ya 55 na Vincent Janssen dakika ya 64, wakati la Belarus lilifungwa na Alexei Rios PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Yankees fans melt down over 'one of the worst baserunning decisions you
will ever see' in playoff loss to Rays
-
New York Yankees catcher Austin Wells nearly became the team's newest
October hero on Saturday in St. Petersburg before an epic baserunning error
gave the ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment