Washangiliaji wa kikundi cha Muchacho Group, maarufu kama Wana Kidedea wakiteremka kwenye Bandari ndogo ya Dar es Salaam kwenda kupanda boti mwaka 1992 kwa safari ya Zanzibar kuishangilia Simba SC kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati. Simba ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano hiyo kwa kuwafunga mahasimu, Yanga kwenye fainali kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Summer Heatwaves Deal Devastating Blow To French Wine
-
This would mark France’s third consecutive weak wine harvest, after low
output in 2024 and 2025.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment