Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo (kuia) akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Iceland, Kolbeinn Sigthorsson katika mchezo wa Kundi F Euro 2016 Uwanja wa Stade Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Luis Nani akianza kuifungia Ureno kabla ya Birkir Bjarnason kuisawazishia Uceland. Mchezo mwingine wa Kundi F jana, Hungary iliifunga Austria 2-0, mabao ya Adam Szalai na Zoltan Stieber Uwanja wa Matmut Atlantique, Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
APC’s Ikeje Asogwa declared winner of Enugu North Senate by-election
-
INEC declares APC candidate Ikeje Asogwa winner of Enugu North Senatorial
by-election with 162,360 votes, defeating PDP’s Nestor Ezeme.
The post APC’s Ik...
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment