Mshambuliaji wa Ufaransa, Dimitri Payet akitimba kibendera cha kona kwa furaha baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 90 na zaidi usiku wa Jumatano katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Albania Uwanja wa Stade Velodrome mjini Marseille, Ufaransa kwenye mchezo wa Kundi A Euro 2016. Bao la kwanza la Ufaransa lilifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 90 baada ya kuingia dakika ya 68 kuchukua nafasi ya Kingsley Coman PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jonjo Shelvey opens up on turbulent spell in Turkey as former Liverpool
star reveals the events that led to his sleeping pill addiction
-
Jonjo Shelvey has opened up on his sleeping pill addiction and the
difficult time he endured during his rollercoaster spell in Turkey.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment