Mwanzo > NDONDI > MUHAMMAD ALI ALIPOZURU TANZANIA MWAKA 1980 MAKTABA YA BIN ZUBEIRY NDONDI MUHAMMAD ALI ALIPOZURU TANZANIA MWAKA 1980 Bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa uzito wa juu duniani, Mohammad Ali aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana, aliwahi kuzuru nchini Tanzania mwaka 1980 na hapa akiwa mjini Dar es Salaam katika ziara yake. Pumzika kwa amani fundi wa ngumi Sunday, June 05, 2016 MAKTABA YA BIN ZUBEIRY NDONDI
0 comments:
Post a Comment