Mshambuliaji Daniel Sturridge akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake wa England wakimpongeza kwa kufunga bao la ushindi dakika ya 90 na ushei wakiilaza 2-1 Wales katika mchezo wa Kundi B Euro 2016 jioni ya leo Uwanja wa Bollaert-Delelis mjini Lens, Ufaransa. Bao lingine la England limefungwa na Jamie Vardy dakika ya 56, baada ya Gareth Bale kutangulia kuifungia Wales dakika ya 42 na sasa Three Lions wanapanda kileleni kwa kufikisha pointi nne, wakifuatiwa na Wales, Slovakia zenye pointi tatu kila moja, wakati Urusi inashika mkia kwa pointi yake moja, baada ya kila timu kucheza mechi mbili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment