Mshambuliaji Clint Dempsey akikimbia kishujaa kufurahia bao lake pekee aliloifungia Marekani ikiilaza 1-0 Paraguay Alfajiri ya leo katika mchezo wa Copa America Uwanja wa Lincoln Financial Field mjini Philadelphia, Pennsylvania, Marekani na kukata tiketi ya Robo Fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup 2026: Cristiano Ronaldo becomes first man to score a goal in six
World Cups
-
Cristiano Ronaldo is still setting records at 41.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment