![]() |
| Mashabiki wa Yanga wakishangilianpamoja na shabiki wa Azam FC jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu zao. Azam FC ilishinda 2-1. |
![]() |
| Shabiki wa Yanga akinywa kinywaji kipya cha kampuni ya Bakhresa Group, wamiliki wa Azam FC kiitwacho Energy Drink jana Uwanja wa Taifa |




.png)
0 comments:
Post a Comment