• HABARI MPYA

    Saturday, May 02, 2015

    MAYWEATHER AMZIDI UZITO PACQUIAO, LAKINI IKO POA TU KWA WELTER

    Mayweather poses on the scale at the MGM Grand and was inside the limit by just one pound

    Bondia Floyd Mayweather Jr akiwa kwenye mzani wakati wa kupima uzito ukumbi wa MGM Grand usiku wa kuamkia leo kuelekea pambano lake na Manny Pacquiao usiku wa kuamkia kesho kwenye ukumbi huo. Mayweather 'alibalanasi' uzito wa pambano (Paundi za 147 za Welter), tena akiwa amepungua Paundi moja. 
    Pacquiao flexes his muscles on the scales and came in at  two pounds under the weight limit
    Pacquiao naye amepungua Paundi mbili za uzito kamili wa Welter

    PICHA ZAIDI NENDA: 
    http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-3064839/Floyd-Mayweather-Manny-Pacquiao-limit-Fight-Century.html#ixzz3YwirAnZN 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER AMZIDI UZITO PACQUIAO, LAKINI IKO POA TU KWA WELTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top