BAADA ya kufanikiwa kufikia makubaliano ya kumsajili winga Mholanzi, Memphis Depay, katika kuimarisha kikosi chao zaidi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya England, Manchester United inajipanga zaidi kwa mwonekano mpya.
Kuelekea msimu wa 2015-2016, kocha Mholanzi Louis van Gaal anaendelea na mipango ya usajili wa nyota wengine, mchezaji wa Borussia Dortmund, Mats Hummels akitajwa katika orodha hiyo pamoja na mchezaji mwenzake, Ilkay Gundogan anayewaniwa pia Arsenal na Bayern Munich.
Huku nyota wa Southampton, Nathaniel Clyne naye akihusishwa mno katika skwadi la Mashetani Wekundu msimu ujao, hivi ndivyo kikosi cha kwanza cha Van Gaal kitaonekana iwapo atafanikiwa kuwapata wachezaji wote anaowataka.
Safu ys ushambuliaji itaundwa na Wayne Rooney, Angel di Maria na Memphis Depay Old Trafford msimu ujao PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment