• HABARI MPYA

    Sunday, May 03, 2015

    KUN AGUERO AWAFARIJI MAN CITY BAADA YA KUVULIWA UBINGWA NA CHELSEA LEO

    Argentina internationl Aguero celebrates after scoring his 22nd Premier League goal of the campaign for Manchester City
    Mwanasoka wa kimataifa wa Argentina, Sergio 'Kun' Aguero akishangilia baada ya kufunga bao lake la 22 katika Ligi Kuu England msimu huu katika ushindi wa 1-0 wa Manchester City dhidi ya Tottenham Uwanja wa White Hart Lane usiku huu.
    Aguero looks at the crowd having given Manuel Pellegrini's men the lead on the half hour mark
    Bao la Aguero linaifanya City ifikishe pointi 70 baada ya kucheza mechi 35, ikiendelea kukamata nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea waliojihakikishia ubingwa leo kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace leo kwa kufikisha pointi 83 baada ya kucheza mechi 35. City ndiyo waliokuwa mabingwa watetezi na sasa wanapambana na Arsenal na Manchester United kuwania nafasi ya pili.

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3066327/Tottenham-0-1-Manchester-City-Sergio-Aguero-strikes-goal-game-earn-victory-Manuel-Pellegrini-s-men.html#ixzz3Z64Osai9 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KUN AGUERO AWAFARIJI MAN CITY BAADA YA KUVULIWA UBINGWA NA CHELSEA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top