ZOEZI la upasuaji wa gwiji wa soka Brazil, Pele mwenye umri wa miaka 74, limemalizika salama na anaendelea vizuri kwa sasa. Taarifa ya hospitali ya Albert Einstein mjini Sao Paulo, Brazil imethibitisha Pele kwa sasa yuko vizuri baada ya upasuaji huo.
Pele alifanyiwa upasuaji Jumanne wa malazi ya nyama za mdomoni zinazoshikilia meno, ambayo tovuti hiyo imesema yanaongeza hatari ya ugonjwa wake wa kibovu cha mkojo.
Pele, ambaye jina lake halisi ni Edson Arantes do Nascimento, aliruhusiwa kutoka katika hospitali hiyo hiyo mapema Desemba baada ya kulazwa kwa wiki mbili kwa matatizo hayo hayo.

Pele anaendelea vizuri kiafya baada ya kufanyiwa upasuaji
Mshindi huyo wa mataji matatu ya Kombe la Dunia akiwa na Brazil bado hajatokea hadharani kuzungumzia afya yake.
Akiwa amefunga mabao zaidi ya 1,280 jumla enzi zake anacheza soka, Pele anapewa heshima na mashabki wengi kama mchezaji bora zaidi daima wa dunia kuahi kutokea duniani.

Pele akibadilishana jezi na mshambuliaji wa zamani wa Argentina, Diego Maradona (kushoto) mwaka 2005

.png)
0 comments:
Post a Comment