MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Karim Benzema hajapona maumivu yake ya goti na ameachwa kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachomenyana na wenyeji Juventus katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ufaransa alipata maumivu hayo katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya dhidi ya Atletico Madrid mwezi uliopita na ni jana tu alianza mazoezi, kocha Carlo Ancelotti hajamuorodhesha kwenye kikosi cha mechi ya kesho.
Mshambuliaji wa Real, Mmexico, Javier Hernandez anaweza akaanza badala ya Benzeam mjini Turinsambamba na Cristiano Ronaldo na Gareth Bale, ambaye alirejea katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Sevila
Karim Benzema ataendelea kuwa bencni kesho Real Madrid ikimenyana na Juventus


.png)
0 comments:
Post a Comment