• HABARI MPYA

    Sunday, March 08, 2015

    GORAN KOPUNOVIC ALIVYOUTANDIKA UPEPO 'RIGHT-HOOK' KUSHANGILIA BAO LA OKWI

    Kocha wa Simba SC, Goran Kopunovic raia wa Serbia akishangilia bao la Emmanuel Okwi lililoipa timu yake ushindi wa 1-0 dhidi ya mahasimu, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Anavuta kasi kurusha ngumi hewani
    Tayari ameutandika upepo 'right-hook' ya maana, hizo ni furaha za bao la Okwi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GORAN KOPUNOVIC ALIVYOUTANDIKA UPEPO 'RIGHT-HOOK' KUSHANGILIA BAO LA OKWI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top