• HABARI MPYA

  Friday, January 09, 2015

  AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mussa Hassan Mgosi akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Azam FC jioni ya jana katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu zilitoka sare ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa ikafuzu kwa ushindi wa penalti 7-6.
  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akipambana na kiungo wa Mtibwa Sugar, Shomary Ally
  Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa Mtibwa, Ibrahim Jeba
  Winga wa Azam FC, Brian Majwega akimtoka beki wa Mtibwa, Said Mkopi
  Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akipambana na beki wa Mtibwa, Salim Mbonde huku kiungo Henry Joseph akiwa tayari kutoa msaada kulia 
  Hatari kwenye lango la Mtibwa, beki wa Azam FC Aggrey Morris akiwa ameruka juu dhudu ya Henry Joseph wa Mtibwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top