• HABARI MPYA

  Friday, January 09, 2015

  YANGA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwatoka wachezaji wa JKU katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.  JKU ilishinda 1-0.
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimtoka beki wa JKU
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akipambana na beki wa JKU
  Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimtoka mchezaji wa JKU
  Winga wa Yanga SC, Andrey Coutinho akipasua katikati ya wachezaji wa JKU
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe (kushoto) akiwa ameruka juu kupiga mpia kichwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top