• HABARI MPYA

    Monday, October 06, 2014

    YANGA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Genilson Santana Santos 'Jaja' akimtoka beki wa JKT Ruvu, Haruna Shamte katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1
    Mrisho Ngassa wa Yanga SC akimtoka beki wa JKT Ruvu Madenge Ramadhani
    Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimtoka beki wa JKT Ruvu, George Minja 
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa JKT Ruvu jana
    Kiungo wa JKT Ruvu, Jabir Aziz akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Hassan Dilunga wa Yanga (chini)
    Haruna Niyonzima wa Yanga SC akimtoka mchezaji wa JKT Ruvu
    Beki wa JKT Ruvu, Mohamed Fakhi akiupitia mpira katikati ya miguu ya Mrisho Ngassa wa Yanga
    Beki wa Yanga SC, Edward Charles akimtoka George Minja wa JKT Ruvu 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top