• HABARI MPYA

        Thursday, August 07, 2014

        SHEREHE ZA UZINDUZI WA TAWI JIPYA SIMBA SC ZILIVYOFANA LEO WAZO, 'PREZIDAA' AVEVA NA KIKOSI KIZIMA NDANI

        Rais wa Simba SC, Evans Aveva kushoto akifunia kitambaa kwenye bango la tawi jipya la klabu hiyo, Home Boys la Tegeta njia ya kuelekea Wazo Hill, Dar es Salaam katika sherehe za uzinduzi wa tawi hilo mchana wa leo. Kulia ni Mwenyekiti wa tawi hilo, Hassan Keya Kaniki
        Aveva anazindua tawi la Home Boys
        Aveva akihutubia wanachama wa tawi hilo
        Zao la Msimbazi; Wachezaji waliopandishwa kutoka timu ya vijana ya Simba SC, kutoka kulia Said Ndemla, Abdallah Seseme, William Lucian 'Gallas' na Ibrahim Hajibu wakipata chakula katika sherehe hizo
        Wa Gor Mahia; Kutoka kulia kocha Zdravko Logarusic, beki Donald Mosoti na kipa Ivo Mapunda, wote walijiunga na Simba SC Desemba mwaka jana kutoka Gor Mahia ya Kenya
        Wa Manungu; Kutoka kulia kipa Hussein Sharrif 'Cassilas', kiungo Shaaban Kisiga na beki Issa Rashid 'Baba Ubaya' ambao wote wamesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar
        Wachezaji wa Simba SC wakijadiliana jambo katika sherehe hizo
        Hii ni foleni ya kuekekea kwenye msosi
        Pierre Kwizera akijipimia chakula kwenye sherehe hizo
        Hitimisho; Wachezaji na viongozi katika picha ya pamoja baada ya shughuli

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SHEREHE ZA UZINDUZI WA TAWI JIPYA SIMBA SC ZILIVYOFANA LEO WAZO, 'PREZIDAA' AVEVA NA KIKOSI KIZIMA NDANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry