• HABARI MPYA

    Friday, June 06, 2014

    WATANASHATI WA KITALIANO NDANI YA BRAZIL, UTAWAPENDA!

    WACHEZAJI tisa wa Italia walilazimika kukaa situ za daraja la pili, baada ya kuambiwa ndege ni ndogo wakielekea Brazil kwenye Kombe la Dunia.
    The Azzurri imewasili leo mjini Riona kuelekea katika kambi yao mjini Mangaratiba, umbali wa maili 75 kusini mwa mji huo.
    Lakini karibu nusu ya wachezaji wao waliambiwa hakuna nafasi katika daraja la kwanza kwenye ndege ya Alitalia maarufu na wakatumia saa 12 angani wakiwa wameketi kwenye siti 'za kawaida'.
    Watanashati: Kikosi cha Italia kikiwa kwenye ndege kwa safari ya Brazil kwenye Kombe la Dunia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATANASHATI WA KITALIANO NDANI YA BRAZIL, UTAWAPENDA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top