• HABARI MPYA

    Thursday, May 16, 2013

    BALOTELLI AMSINDIKIZA KWA 'SISHANGAI UMEFUKUZWA' MANCINI

    IMEWEKWA MEI 16, 2013 SAA 6:30 USIKU
    MSHAMBULIAJI Mario Balotelli hastaajabu Roberto Mancini kufukuzwa Manchester City kwa sababu ya matatizo ya kocha wake huyo wa zamani na klabu hiyo.
    Balotelli, ambaye alisajiliwa na Mancini City kabla ya kuuzwa AC Milan Januari, amesema Mtaliano mwenzake huyo ni bonge la kocha.
    Mancini alifukuzwa City Jumatatu baada ya timu kushindwa kufikia malengo yaliyotarajiwa na wamiliki na sasa nafasi yake inatarajiwa kuzibwa na Manuel Pellegrini wa Malaga.
    Angalia video chini
    Sacked: But Roberto Mancini, according to Mario Balotelli, is a great manager
    Sacked: But Roberto Mancini, according to Mario Balotelli, is a great manager
    Champions: Balotelli (left) and Mancini (centre) at City last May
    Champions: Balotelli (left) and Mancini (centre) at City last May
    Alipoulizwa kuhusu kufukuzwa kwa Mancini, Balotelli aliiambia CNN: "Sishangai kabisa, lakini wakati nilipokuwa naye, alikuwa kocha babu kubwa na tulikuwa na moja ya timu nzuri kati ya nilizowahi kuchezea, wachezaji wazuri.
    "Sijui kwa nini hakushinda (taji). Lakini dhahiri kulikuwa kuna matatizo ya ndani. Nipo hapa (Milan) hivyo sifahamu,".
    Mario Balotelli
    Roberto Mancini
    Ndondi: Balotelli na Mancini wakikwidana enzi zao  Manchester City
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BALOTELLI AMSINDIKIZA KWA 'SISHANGAI UMEFUKUZWA' MANCINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top