• HABARI MPYA

  Ijumaa, Mei 31, 2013

  ARSENAL SASA WAINYIMA RAHA KABISAAAAAAA MAN UNITED KATIKA DILI LA FABREGAS

  IMEWEKWA MEI 31, 2013 SAA 1:30 ASSUBUHI
  KLABU ya Manchester United inaweza kulazimika kutoa fedha nyingi ili kumpata Cesc Fabregas, kutokana na Barcelona kuwa tayari kuwauzia mchezaji huyo Arsenal kwa nusu bei kulingana na makubaliano yao wakati anahamia Nou Camp. 
  Inamaanisha Barcelona ingeweza kumuuza kwa Pauni Milioni 70 mchezaji huyo, lakini The Gunners wanaweza kupewa ofa ya kumsajili kwa Pauni Milioni 20, hivyo United lazima wapande dau. 
  United ina nia thabitio ya kumsajili kiungo huyo wa Hispania, lakini Arsenal sasa ndio imeshikilia mustakabali wa dili hilo na ndiyo wataamua kama kocha mpya David Moyes atampata nyota huyo au la. 
  On the move: Cesc Fabrgeas's future is surrounded in uncertainty with Manchester United keen on the midfielder
  Njaini: Cesc Fabrgeas anatakiwa Man United 
  Cesc Fabregas
  Ilikubaliwa wakati Fabregas anarejea Catalan mwaka 2011, kwamba The Gunners watapunguziwa asilimia 50 akiuzwa. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: ARSENAL SASA WAINYIMA RAHA KABISAAAAAAA MAN UNITED KATIKA DILI LA FABREGAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top