• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 22, 2013

  AZAM MARINE WALETA MELI JIPYA KALI ILE MBAYA, LITAITWA KILIMANJARO IV


  Muonekano wa Kilimanjaro 4
  KAMPUNI ya Azam Marine, inaleta boti mpya ya Kilimanjaro 4, ambayo inatarajiwa kuwasili nchini nchini, kuanzia mwishoni wa mwezi huu, ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 700 na kutumia muda wa dakika 70 kwa safari moja ya kati ya Zanzibar na Dar es Salaam. Hii ni boti mpya kabisa katika muendelezo wa boti za Kilimanjaro, ambayo itakidhi mahitaji ya wasafiri wa eneo hili kwa kuwa inabeba sifa zote, ambazo ni Usalama, Kasi zaidi na Unadhifu. Kaa tayari kwa mzigo mpya kutoka Azam Marine.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AZAM MARINE WALETA MELI JIPYA KALI ILE MBAYA, LITAITWA KILIMANJARO IV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top