MISS KIGAMBONI WAFURIKA MAZOEZINI, MTAFUTANO JUNI 7
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy Beach ulioko Kigamboni.