• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 26, 2013

  WACHEZAJI WA TAIFA STARS WAKIONDOKA DAR KWENDA ADDIS ABABA USIKU HUU, ZAHOR PAZI AKWEA PIPA

  IMEWEKWA MEI 26, 2013 SAA 5:40 USIKU
  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kutoka kulia Zahor Pazi, Nadir Haroub 'Cannavaro' na Aggrey Morris wakiingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, tayari kwa safari ya Addis Ababa, Ethiopia usiku huu ambako wataweka kambi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia kabla ya kwenda Morocco kucheza mchezo wa Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil mwakani.   

  Erasto Nyoni kulia na Nadir Cannavaro

  Kutoka kulia Daktari Mwanandi Mwankemwa, nahodha Juma Kaseja, Zahor Pazi na Ally Mustafa 'Barthez'

  Juma Kaseja kulia na Barthez

  Aggrey Morris na Mrisho Ngassa

  Zahor Pazi kulia na Mrisho Ngassa

  Vijana katika eneo la ukaguzi ndani ya Uwanja wa Ndege tayari kupanda ndege ya Shirika la Misri kuelekea Addis Ababa 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: WACHEZAJI WA TAIFA STARS WAKIONDOKA DAR KWENDA ADDIS ABABA USIKU HUU, ZAHOR PAZI AKWEA PIPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top