• HABARI MPYA

    Monday, May 20, 2013

    NYOTA WA LIGI KUU ENGLAND WALIVYOJIRUSHA BAADA YA KUMALIZA MSIMU WA LIGI, CHEKI WATU NA TOTOZ ZAO, USIPIME BWANAA

    IMEWEKWA MEI 20, 2013 SAA 1:00 USIKU
    MSIMU umeisha, ni wakati wa kusherehekea. Hivyo ndivyo walivyofanya nyota kadhaa wanaocheza Ligi Kuu ya England baada ya kujiachia sehemu za starehe kufuatia kucheza mechi zao za mwisho za msimu.
    Andy Carroll alionekana mwenye usiku mzuri. Mshambuliaji huyo ambaye ameitwa tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England kwa ajili ya michezo ya kirafiki wiki ijayo dhidi ya Jamhuri ya Republic ya Ireland na Brazil, alipigwa picha akiwa klabu moja ya 'juu kwa juu' (takeaway) mapema.
    Munch: Andy Carroll pictured tucking into a takeaway in the early hours of the morning in London
    Munch: Andy Carroll akiwa katika Take Away moja asubuhi London

    Wengine pia walijimwaga katika klabu baab kubwa za usiku London. Beki wa Chelsea, Ashley Cole alipigwa picha akiingia Whisky Mist huko Mayfair.
    Wachezaji kadhaa kutoka klabu tofauti walikwenda Libertine, wakiwemo Frank Lampard na mpenzi wake Christine Bleakley, Aaron Ramsey, Marouane Fellaini na Bacary Sagna.
    Mwanasoka mstaafu, Fabrice Muamba, aliyepatwa na matatizo ya moyo Uwanja wa White Hart Lane mwaka jana, pia aliungana na rafiki zake na wachezaji wa timu pinzani.
    Mchezaji wa Arsenal, Tomas Rosicky alikuwa akiwa beggar mitaani.
    International: Carroll was recently recalled to the England squad for the upcoming friendly double-header
    International: Carroll was recently recalled to the England squad for the upcoming friendly double-header
    Wa kimataifa: Carroll hivi karibuni amerejeshwa kikosini England
    Departing: Carroll outside the takeaway with what appears to be a couple of bottles of water in his bag
    Anaondoka: Carroll nje ya Take Away 
    Hitting the clubs: Ashley Cole pictured entering Whisky Mist accompanied by a glamorous friend
    Hitting the clubs: Ashley Cole pictured entering Whisky Mist accompanied by a glamorous friend
    Ashley Cole akiingia na rafiki
    Deep discussion: Marouane Fellaini talking to a rose seller outside Libertine
    Marouane Fellaini akizungumza na jamaa nje ya Libertine
    Time to go: Fellaini looking a bit worse for wear as he departs
    Fellaini anaondoka
    Partying: Aaron Ramsey went to Libertine
    Partying: Fabrice Muamba went to Libertine
    Aaron Ramsey (kushoto) na Fabrice Muamba kulia wakiwa Libertine
    Couple: Libertine also played host to Frank Lampard and fiancee Christine Bleakley
    Wapenzi: Libertine pia ilikuwa mwenyeji wa Frank Lampard na mpenzi wake, Christine Bleakley
    Long night: Bacary Sagna pictured with stains of some sort on his shirt outside Libertine
    Long night: Bacary Sagna pictured with stains of some sort on his shirt outside Libertine
    Bacary Sagna nje ya Libertine
    Generous: Rosicky kindly hands over some money to a beggar in the streets
    Generous: Rosicky kindly hands over some money to a beggar in the streets
    Rosicky akilipia beggar mtaani
    Melee: A boisterous group, including Brentford players Harlee Dean (left) and Jonathan Douglas (2nd right), pictured outside Whisky Mist
    Kasheshe: Kundi la watu, wakiwemo wachezaji wa Brentford, Harlee Dean (kushoto) na Jonathan Douglas ( wa pili kulia), nje ya Whisky Mist
    Melee: A boisterous group, including Brentford players Harlee Dean (left) and Jonathan Douglas (2nd right), pictured outside Whisky Mist
    Melee: A boisterous group, including Brentford players Harlee Dean (left) and Jonathan Douglas (2nd right), pictured outside Whisky Mist
    Melee: A boisterous group, including Brentford players Harlee Dean (left) and Jonathan Douglas (2nd right), pictured outside Whisky Mist

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NYOTA WA LIGI KUU ENGLAND WALIVYOJIRUSHA BAADA YA KUMALIZA MSIMU WA LIGI, CHEKI WATU NA TOTOZ ZAO, USIPIME BWANAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top