• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 21, 2013

  ROONEY APATA TOTO LA PILI LA KIUME, ALIPA JINA LA ZAMANI LA MFALME WA NDONDI DUNIANI MUHAMMAD ALI


  IMEWEKWA MEI 21, 2013 SAA 1:15 USIKU
  MSHAMBULIAJI Wayne Rooney amekuwa mwenye furaha baada ya leo asubuhi kupata mtoto wa pili, aliyempa jina Klay.
  Mkewe, Coleen alikimbizwa Maabara usiku wa Jumamosi, maana yake Rooney ilimbidi akose mechi ya mwisho ya klabu yake, Manchester United katika Ligi Kuu England dhidi ya West Bromwich Albion.
  Rooney ametangaza kwenye ukurasa wake wa Twitter, akiwaambia zaidi ya wafuasi wake Milioni sita kwamba: "Mtoto wetu mzuri wa kiume, Klay Anthony Rooney amezaliwa saa 8.11 (usiku), akiwa na uzito wa Pauni 7I 11.1/2. Wote, Klay na Coleen wapo katika hali nzuri..... Sote tumefurahia!!'
  Happy family: Rooney tweeted this picture of himself, Coleen, Kai and Klay
  Familia ya Furaha: Rooney ametweet hii picha akiwa na Coleen, Kai na Klay
  Roo beauty: Wayne Rooney arrives with son Kai on Tuesday to see his newborn child
  Wayne Rooney akiwasili na na mwanawe wa kwanza wa kiume Kai leo kumuona mtoto wake mpya aliyezaliwa
  Roo beauty: Wayne Rooney arrives with son Kai on Tuesday to see his newborn child
  All smiles: Coleen posted this picture on Twitter with the words: 'Thanks everyone for the lovely messages'
  Coleen ameposti hii picha kwenye ukurasa wake wa Twitter na maneno: "Asante kwa kila mmoja kwa ujumbe wa upendo"
  Hands on: Wayne and Coleen Rooney leave the hospital after the birth of their second son
  Hands on: Wayne and Coleen Rooney leave the hospital after the birth of their second son
  Wayne na Coleen Rooney wakitoka hospitali baada ya kupata mtoto wa pili wa kiume
  It's a boy: Coleen's mum and Kai head into the hospital
  Mama yake Coleen na Kai wakienda hospitali
  We are family: Wayne and Coleen Rooney, who already have three-year-old Kai, announced the arrival of their second son Klay in the early hours on Tuesday morning
  Wayne na Coleen Rooney, ambao tayari wana mtoto wa kiume wa miaka mitatu, Kai, wametangaza kuzaliwa kwa mtoto wao wa pili, Klay leo asubuhi
  Making it a double: Wayne announced the good news on his Twitter page in the early hours of Tuesday morning
  Alichoandika Wayne katika Twitter yake
  Happy days: After going into labour late on Saturday night, Coleen was delighted to announce the arrival of her second son
  Alichoandika  Coleen

  MAANA YA KLAY

  'Ambaye ni milele. ni jina la kiume, linawafaa watoto wa kiume.' 
  Klay maana yake ni 'Ni ambaye ni milele' na kwa kuwa Rooney ni shabiki mkubwa wa ndondi, jina hilo inaweza kuwa limemvutia kutokana na mfalme wa ulingoni, Cassius Clay (sasa, Muhammad Ali).
  Aliweka ujumbe wake saa 9.49 alfajiri, na kupokea pongezi nyingi kutoka kwa mashabiki wake wakiwemo watu mashuhuri kama Ed Sheeran na nyota wa Apprentice, Lord Sugar, ambaye alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kutuma salamu zao za pongezi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: ROONEY APATA TOTO LA PILI LA KIUME, ALIPA JINA LA ZAMANI LA MFALME WA NDONDI DUNIANI MUHAMMAD ALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top